Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 7 Agosti 2016

Picha 5 za mahubiri ya Mtumishi Brown Mwakigali kwenye mkutano wa leo hapa kanisani

Mtumishi wa Bwana Brown Mwakigali pichani toka EAGT Makabe Msakuzi ndiye aliyetulisha neno la Bwana kwenye mkutano wa leo. Hakika nguvu ya Bwana ilionekana kupitia kinywa cha mtumishi wake huyu.
Wapiga vyombo
Baadhi ya wana kwaya ya Paradiso toka Buza wakiwa mkutanoniWaumini wakishangilia kama ishara ya kubarikiwa na neno la Mungu kupitia mtumishi wake

0 maoni:

Chapisha Maoni