Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 7 Agosti 2016

Picha 5:Kwa mara nyingine Justin Jackson awasha moto wa injili kanisa Anglikana-Majohe

Mwimbaji Justin Jackson alishiriki nasi ibada ya leo, na baadae kidogo atakuwa nasi kwenye mkutano wa injili hapa kanisani. Ni kijana mwenye kipaji kikubwa na cha tofauti katika Uimbaji wa nyimbo za Injili. Mungu ambariki sana katika kazi yake ya kumsifu Bwana
0 maoni:

Chapisha Maoni