Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumatano, 3 Agosti 2016

Picha 9 zaidi za mchezo kati ya Anglikana-Majohe vs KKKT-Majohe

 Kikosi cha KKKT-Majohe kilichopambana vikali na Anglikana-Majohe tarehe 31/8/2016.Katika mchezo huo Anglikana-Majohe tulishinda 1-0, goli lililofungwa na Isdory Maximilian.

Kikosi cha Anglikana Mt.Mathayo-Majohe 

Mashabiki wa Anglikana-Majohe wakifuatilia mpambano

 Mashabiki zaidi,wa pili toka kulia ni Jacob ambaye alicheza na baadae kutoka nje.

Mwinjilisti John Haule wa kanisa Anglikana Majohe alifuatilia mchezo kwa makini 

 Kiongozi wa KKKT-Majohe mwenye T-shirt nyeusi akiongea machache mwishoni. Nyuma yake ni Jonas Basinda ambaye ndiye alikuwa Mwamuzi (referee) wa mchezo.

 Kiongozi wa KKKT-Majohe

 Hapa ni baada ya mchezo kuvunjika baada ya mpira wa pili kupasuka. Hadi refa anamaliza anavunja mchezo Anglikana-Majohe ilikuwa mbele kwa goli 1-0.

0 maoni:

Chapisha Maoni