Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumanne, 9 Agosti 2016

Ujenzi wa madhabahu kanisa Anglikana Mt.Mathiya-Viwege waanza

Hatimaye waumini wa Kanisa Anglikana Mtakatifu Mathiya - Viwege wameanza ujenzi wa madhabau wa kanisa hilo. Mungu awatangulie katika ujenzi huo

Picha zote na mtumishi Samwel Haule (Viwege)

0 maoni:

Chapisha Maoni