Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumatatu, 1 Agosti 2016

Zawadi nono kutolewa kwa atakaye mpiga picha Kanisius akiwa AMEKASIRIKA

Kijana Kanisius Frdrick pichani ambaye ni mwimbaji wa Sayuni kwaya hapa kanisani, ni kijana mwenye sifa ya kipekee ya kufurahi wakati wote utakao kutana naye. Ni vigumu sana kumkuta kijana huyu akiwa kakasirika. Mungu ambariki aendelee hivyo ili kuishi vema na wakristo wenzake na jamii kwa ujumla.

Katika kuthibitisha hili, mimi (Dismas Hiza) ninaahidi kutoa zawadi nono kwa yoyote atakayefanikiwa kumpiga picha Kanisius akiwa kakasirika baada ya kutofautiana na mtu mwingine. Usitumie picha ya zamani

0 maoni:

Chapisha Maoni