Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 4 Septemba 2016

Audio: Msikilize Theresia akieleza maajabu aliyotendewa na Bwana hadi kuamua kumshukuru leo

Pichani Theresia Stephano akieleza tatizo la kuanguka,kuzimia na kukosa fahamu kwa muda wa siku nne. Tukio hili lilitokea kati ya tarehe 7 au 8/ Agosti 2016 na kupelekwa Hospitali lakini madaktari hawakugundua tatizo lolote. Baada ya siku nne alipata fahamu kutokana na maombi ya wanajumuiya wenzake na wakristo kwa ujumla na hadi sasa anaendelea vizuri. Leo aliamua kumshukiru Mungu akama anavyo jieleza hapo chini.0 maoni:

Chapisha Maoni