Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumamosi, 24 Septemba 2016

Ndoa ya ELIA na JANETH yafana

Leo Elia na Janeth wamefunga pingu za maisha wakisimamiwa na Padre Patrick Challo na Mkewe. Ndoa hiyo ilifungwa kanisa Anglikana Mt. Mathayo-Majohe na iliongozwa na Padre Meshack Malilo.
  Uinjilisti kwaya wakiimba

Wanandoa na wasimamizi wakisikiliza mahubiri
Janeth akimvisha pete Elia
Janeth akisaini kitabu cha ndoa
Elia akisaini kitabu cha ndoa
Janeth akipokea cheti cha ndoa
Elia akipokeacheti cha ndoa
Sayuni kwaya wakiimba

(Picha zote na Jeremiah)

0 maoni:

Chapisha Maoni