Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumanne, 6 Septemba 2016

Picha ya kumuaga Mwinjilisti Yohana Lenda

Toka kulia ni Mlanga, Ndaison, Padre Malilo, Mwinjilisti Yohana Lenda na John Mwimbe (Katibu wa kanisa) wakiwa kwenye picha ya pamoja ya kumuaga Mwinjilisti Yohana ambaye alikuwa nasi hapa kanisani kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo, na sasa atakuwa chuo (Mt. Marko) kuendelea na masomo. Picha hii ilipigwa juzi (tar 4/09/2016)

Tunamshukuru sana kwa huduma yake nzuri kwa kipindi chote hapa kanisani. Mungu ambariki katika masomo yake.

0 maoni:

Chapisha Maoni