Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 4 Septemba 2016

Video na Picha: Mwimbaji Joseph Kakaa alivyowasha moto wa injili kwenye ibada hapa kanisani

Kwenye ibada ya leo tulisali pamoja na Mwimbaji binafsi Joseph Kakaa ambaye alipata nafasi ya kuwasha moto wa injili kwa njia ya uimbaji.

Pia anauza Audio CD yake yenye nyimbo nane NZURI kwa shilingi 5,000/- tu. Unaweza wasiliana nae kwa namba 0788 361 412 au 0719 131 421 ujipatie nakala yako upate kubarikiwa.

Tazama video na picha zake hapo chini ujionee jinsi alivyowasha moto wa injili.


0 maoni:

Chapisha Maoni