Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 4 Septemba 2016

Wanafunzi wanaotarajia kufanya mitihani ya darasa la 7 wapata baraka

Waliopiga magoti ni wanafunzi wa darasa la saba waliojitokeza mbele kupata baraka toka kwa Padre. Meshack Malilo (hayupo pichani) kwaajili ya kufanya mitihani yao ya kumaliza elimu ya msingi inayotarajia kuanza hivi karibuni. Waliosimama nyuma yao ni wazazi/walezi wa wanafunzi hao. 

Mungu awatangulie katika kufanya mitihani yao, Amen

0 maoni:

Chapisha Maoni