Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 18 Septemba 2016

Watoto wawili wabatizwa sikukuu ya Mt. Mariam

Mtoto Charles akibatizwa na Padre Malillo, aliyemshika mtoto ni Ndaison ambaye ni mdhamini wa mtoto huyo.
Watumishi wakiendelea na ibada ya ubatizo

Mtoto Charles akibatizwa
 Ndaison akipokea Cheti cha ubatizo kwa niaba ya mtoto Charles. Nyuma ya Ndaisoni ni mama wa mtoto Charles
 Mtoto mwingine akiwa amebebwa kusubiri zamu yake kubatizwa


Picha ya pamoja ya familia ya Ndaison na Familia ya mtoto Charles baada ya ibada

0 maoni:

Chapisha Maoni