Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 16 Oktoba 2016

Picha 3:Mtumishi wa Bwana 'Ndaison' alivyonoga na suti yake leo

Hivi ndivyo alivyowasili kanisani Mwenyekiti wa jumuiya ya Mtakatifu Cecylia Bwana Ndaison mara tu baada ya kuteremka kwenye gari yake. Haika amependeza na suti yake ya gharama kubwa isiyo elezeka. Hakika Bwana anawatendea yaliyo mema watumishi wake. Ubarikiwe sana Ndaison uweze kununua suti nyingine nyingi nzuri kama hiyo.

Hapa akichukua bahasha yake ya sadaka. Muonekano wa suti yake ni ishara tosha ya kwamba hiyo bahasha ilifurika sadaka hahahahaaaaa.
Akiuangalia mlango wa kanisa kwa shauku kubwa ya kushiriki ibada.

Mungu mbariki Ndaison na familia yake, Amen


0 maoni:

Chapisha Maoni