Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 2 Oktoba 2016

Picha 10: Baadhi ya matukio ya tamasha la kusifu na kuabudu

Leo kulikuwa na Tamasha la kusifu na kuabudu hapa kanisani kuanzia saa 10jioni hadi saa 12 jioni
Adela akiimbisha wimbo wa kusifu na kuabudu
Uinjilisti kwaya ya hapa kanisani wakiwa jukwaani

Waumini wakisifu kwa kucheza
Mwambji binafsi aliyeshiriki nasi kwenye Tamasha la leo
Mwinjilisti Sospeter Mrope toka kanisa anglikana Mt. Mathiya akitulisha neno la Bwana
Waumini wakisikiliza neno la Bwana
Waumini wakisikiliza neno la Bwana
Waumini wakisifu kwa kucheza

0 maoni:

Chapisha Maoni