Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumamosi, 26 Novemba 2016

Picha 13: Harusi ya Rojas na Dynes yafana, matukio ya nyumbani.

Rojas na Dynes katikati, wakiwa na wasimamizi wao kwenye tafrija fupi ya ndoa yao iliyofanyika nyumbani kwao Majohe. Tafrija hii ilifanyika baada ya misa ya ndoa iliyofanyika kanisa Anglikana Mt. Mathayo Majohe Dsm asubuhi ya leo. Mungu awabarikia sana katika maisha yao mapya ya ndoa.
  Wazazi wa Bw. Harusi
Wageni waalikwa
MC
Wakati wa cheers
Wanandoa wakijiandaa kunyweshana champagne
Wasimamizi wakijiandaa kunyweshana champagne
Wanandoa wakikata keki tayari kulishana
Bibi Harusi akiwa ameweka keki mdomoni tayari kwa kumlisha Bwana Harusi
Bwana Harusi akipakua chakula

Sayuni kwaya wakiwa kwenye foleni ya chakula

Wakati wa kutoa zawadi

0 maoni:

Chapisha Maoni