Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 6 Novemba 2016

Mkristo atoa sadaka ya vyombo vya madhabahuni

Hivi ndivyo vyombo viwili ambavyo vilitolewa na muumini kama sadaka kwaajili ya matumizi ya kanisa. Vyombo hivi vilianza kutumika leo baada ya kuwekwa wakfu na Padre Meshack Malilo kama anavyoonekana hapo chini akisaidiwa na Mwinjilisti John Haule (kushoto).

0 maoni:

Chapisha Maoni