Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumamosi, 26 Novemba 2016

Picha 6: Sayuni kwaya watia fora kwenye harusi ya Rojas na Dynes

Sayuni kwaya wakiimba kwenye tafrija fupi ya harusi ya Rojas na Dynes leo. Sayuni waliimba nyimbo zao mbili zenye ujumbe mzuri kwa wanandoa. Nyimbo hizo ziliwakonga nyoyo sana wanandoa pamoja na waalikwa wote, kiasi cha kusababisha shangwe za mara kwa mara kila unapoimbwa mstari wenye ujumbe muhimu. Hakika Sayuni wameifanya vema kazi ya Bwana.
Waumini wa kanisa Anglikana Mt. Mathayo Majohe wakiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Mariam (Bw.Malongo) wakienda kuwapa sapoti Sayuni Kwaya
 Jacob kushoto na Charles wakiwaimbia wanandoa  kwa karibu ili kuufikisha ujumbe.
 Waumini wakitoa sapoti kwa Sayuni Kwaya


0 maoni:

Chapisha Maoni