Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumatatu, 5 Desemba 2016

Camera man wa kanisa letu hapendi utani kazini

Pichani ni Mr. Robert akiwa bize kuchukua matukio ya sikukuu ya watoto bila kutambua na yeye anapigwa picha. Pongezi nyingi sana kwake kwa kufanya kazi yake kwa bidii. Mungu ambariki sana.
 Akipiga picha wana kwaya
Akipiga picha watoto

0 maoni:

Chapisha Maoni