Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumamosi, 3 Desemba 2016

Haleluya Brothers wafanya makubwa kwenye mkesha

Haleluya Brothers wakiimba kwa ufundi mkubwa kwenye mkesha. Kundi hili lilionesha utaalam mkubwa kwenye kuzichezea sauti zao katika kuimba bila kutumia ala ya muziki (akapela). Waumini walishindwa kujizuia kuwashangilia mara kwa mara kutokana na uimbaji mzuri wa vijana hawa. Walipomaliza kuimba hata mwalimu wao (Mpapi) alilazimika kuwashangilia kwa kufanya vema. Mungu awabariki sanaWakipongezwa baada ya kumaliza kuimba

0 maoni:

Chapisha Maoni