Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 4 Desemba 2016

Picha 15: Sikukuu ya watoto yafana

Leo watoto waliadhimisha sikukuu yao hapa kanisani. Walipata fursa ya kutoa huduma mbalimbali za kanisa na kuonesha igizo, ngonjera na kusema mistari. Mchana huu watoto wanatarajia kuelekea Buza kuwatembelea watoto wenzao wa Kituo cha watoto yatima Buza. Mungu awabariki sana

Mtoto Magreth Kombo akisoma somo la kwanza
Watoto wakishiriki ibada kwa makini
Mtoto Rachel Mashaka akisoma somo la pili
Mtoto akicheza wimbo na wanakwaya wa Uinjilisti
Watoto wakimsifu Bwana kwa kuimba
Watoto wakiingia kwaajili ya kusema mistati pamoja na ngonjera
Watoto wakisema mistari
Watoto wakiimba
Maandishi nyuma ya fulana walizovaa watoto leo
Watoto wakisimamia utoaji sadaka

  Chakula
Chakula
Michezo ya hapa na pale huku wanasubiri chakula

0 maoni:

Chapisha Maoni