Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 18 Desemba 2016

Picha 16:Maadhimisho ya miaka miwili ya Mt. Matiya-Viwege yafana


Hatimaye kigango cha Viwege (Mt. Matiya) chatimiza miaka miwili tangu kianzishwe. Maadhimisho hayo yamefanyika leo yakiongozwa na Padre Meshack Malilo akisaidiwa na Mwinjilisti Haule na Mrope. Harambee yenye lengo la kupata shilingi milioni 2 za ununuzi wa vyombo vya muziki ilifanyika na kufanikiwa kupata shilingi 1,700,000 (cash) na ahadi shilingi 550,000. Kama ahadi zote zikitolewa itapatika shilingi 2,250,000.
Muonekano wa kanisa kwa sasa

Padre Meshack Malilo katikati, Mwinjilisti Sospeter Mrope kushoto na Mwinjilisti John Haule wakianza misa
Muumini akisoma somo la kwanza
Waumini
Waumini
Waumini
Waumini

Waumini nje ya kanisa, baada ya kukosa nafasi ndani
Muumini akisoma somo la kwanza
Waumini wakiimba
John Ndifwa akisoma matangazo
Katibu wa mtaa wa Mt. Mathayo-Majohe John Mwimbe akitambulisha meza kuu tayari kwa kuanza Harambee
Utambulisho ukiendelea
Waumini wakifuatilia harambee
Vitu vilivyo tolewa sadaka kwaajili ya mnada

0 maoni:

Chapisha Maoni