Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumamosi, 3 Desemba 2016

Picha 5: Hii ilikuwa ni Adela -VS- Catherine kwenye mkesha


 
 Huyu ni Catherine a.k.a Mchina akionesha uwezo wake wa kumsifu Bwana. Hii style sijui inaitwaje?
Adela akaja na hii staili ya kumsifu Bwana, nadhani tuiite 'Mgongo kupinda staili'

Mpambano unaendelea taratibu, huku kila mtu akisoma mbinu za mpinzani wake
Duuh! Sasa hapa naona "Mchina" anataka kupaa kama alivyofanya Yesu
Duuh! Adela kamlipa staili ya kupaa, si unamuona anavyooka kuelekea juu. Na yeye anaweza kupaa muda si mrefu.

Mpiga picha aliondoka baada ya picha hii, hawa watu kama hawakupaa kama Yesu sijui0 maoni:

Chapisha Maoni