Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumamosi, 3 Desemba 2016

Picha18: Baadhi ya matukio mkesha wa kuamkia leo

Mkesha wa maombi ulifanyika usiku wa kuamikia leo kuanzia saa 3:00 hadi saa 11:00 alfajiri hapa kanisani. Mungu ashukuriwe kwa kutuwezesha kufanya mkesha mzuri kwani watu walibarikiwa sana. Pichani juu ni waumini wakimsifu Bwana kwa kuimba na kucheza wakiongozwa na Bibi Samwel.
Waumini wakiimba
Wana kikundi cha kusifu na kuabudu cha hapa kanisani wakicheza kwa nguvu zote
Waumini wakicheza
Waliosimama ni wana kikundi cha kuabudu (Binti Sayuni) toka Tabata waliokuja kushiriki nasi katika mkesha
Waumini wakisikiliza jambo
Mwinjilisti Haule kushoto na Mwinjilisti Lenda pia walikuwepo
Shemasi Mbago (Muhubiri wa leo) toka Nzasa kushoto na Mwinjilisti Mshuza (MC wa leo) pia walikuwepo
Padre Malilo akitoa neno fupi kwenye mkesha
Waumini
Vijana wakicheza na kimwimbia Bwana
Mwimbaji binafsi, Mary akiimba kwa hisia
Waimbaji wa kikundi cha kusifu na kuabudu wakiimba
Waumini
Vijana wakiimba na kucheza

Waumini wakiimba na kucheza
Waumini wakiimba na kucheza
Ni wakati wa maombezi 

0 maoni:

Chapisha Maoni