Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 18 Desemba 2016

Stone Band yatia fora Viwege

Kwaya ya Viwege 'Stone Band' wakiwa jukwaani wakiimba wimbo wao wa pili maalumu kwa siku ya leo ya kutimiza miaka miwili ya kigango cha Mt. Matiya. Hakika waliimba vizuri wimbo huo uliojaa shukrani kwa wote waliowawezesha kufikia hatua hii. Wabarikiwe sana


0 maoni:

Chapisha Maoni