Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumatatu, 5 Desemba 2016

Vituko vyatawala mchezo wa soka kati ya Anglikana Majohe na Buza

Kikosi cha Anglikana Majohe kabla ya mchezo kuanza. Waliochuchumaa kushoto ni Padre wa Kanisa Meshack Malilo.
 Majohe wakipiga jalamba kabla ya mchezo kuanza

Pichani juu ni pale timu nne zilipoanza kucheza kwenye uwanja mmoja kabla ya polisi kuju kuwafukuza wahuni wa uswahilini waliovamia uwanja. Soma majibizano kati ya Katibu (Mwimbe) na mtoa habari hapo chini upate kufahamu nini hasa kilipelekea fujo kutokea katika mchezo huo

Chini ni video fupi ikionesha jinsi timu nne zilivyocheza uwanja mmoja. Hadi mwisho wa dakika 40 za mchezo, Buza walikuwa mbele kwa goli 2-1

0 maoni:

Chapisha Maoni