Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 1 Januari 2017

Adela atoa ushuhuda jinsi Mungu alivyompigania kuelekea mwaka mpya 2017

Adela akitoa ushuhuda kwenye mkesha wa mwaka mpya jinsi Mungu alivyo mpigania hatimaye kupona tatizo la maumivu ya koo na kifua aliyoanza kuyahisi siku chache kabla ya kufikia mwaka 2017. Maumivu hayo yalimpelekea kushindwa kumsifu Bwana kwa njia ya uimbaji kwa siku kadhaa. Lakini Mungu aliyasikia maombi yake na kumponya hatimaye amefanikiwa kuuona mwaka 2017.

0 maoni:

Chapisha Maoni