Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 29 Januari 2017

Familia yatoa sadaka ya 'sprinkler' (chombo cha kunyunyizia maji ya baraka)

Mwinjilisti John Haule akiwa amekishika chombo cha kunyunyizia maji ya baraka (sprinkler) ambacho kilitolewa na familia moja ya hapa kanisani kama sadaka.Mungu aibariki sana familia hiyo.
Padre Malilo katikati akikiweka wakfu chombo hicho kwenye ibada ya kwanza leo. Kushoto ni Mwinjilisti Haule na kulia ni Mwinjiisti Yohana Lenda

0 maoni:

Chapisha Maoni