Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumatano, 11 Januari 2017

Hali ya Padre Malilo baada ya mchezo wa Simba na Yanga jana

Hali ya Padre Meshack Malilo baada ya mchezo wa nusu fainali wa kombe la Mapinduzi huko Zanzibar kati ya watani wa jadi kukamilika. Katika mchezo huo Yanga ilipoteza kwa kufungwa penati 4-2 na Simba baada ya kutoka 0-0 ndani ya dk 90. Nadhani haina haja ya kueleza yeye ni mshabiki wa timu gani. Picha inajieleza
Mama Padre akimtania Padre, yeye ni mshabiki wa Simba

0 maoni:

Chapisha Maoni