Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 1 Januari 2017

Picha 7: Haleluya Brothers wakonga nyoyo za waumini kwenye mkesha wa mwaka mpya 2017

Haleluya Brothers wakiimba kwa ustadi mkubwa kwenye misa ya mkesha wa mwaka iliyoisha muda mfupi uliopita. Hakika vijana hawa wana vipaji vya kuimba.Mungu awabariki sana. Zifuatazo ni picha za waumini wakifuatilia kwa makini wakati Haleluya Brothers wakiimba

0 maoni:

Chapisha Maoni