Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 12 Februari 2017

Familia ya Mwinjilisti John Haule ikiimba

Pichani ni familia ya Mwinjilisti John Haule ikiimba. Huu ni utaratibu ambao umeanzishwa, ambapo kwenye ibada kila familia itatakiwa kuimba wimbo waupendao toka katika kitabu cha Tenzi au Nyimbo za dini. Jumapili ijayo ni zamu ya familia ya Katibu wa Kanisa (John Mwimbe).

Sikiliza hapo chini jinsi familia ya Mwinjilisti Haule ilivyoimba.


0 maoni:

Chapisha Maoni