Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 5 Februari 2017

Kwa mara nyingine Joseph Kakaa awasha moto wa Injili kanisa Anglikana Majohe


Leo Mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili Joseph Kakaa aliwasha moto wa injili hapa kanisani wakati wa ibada. Pia alimsifu Mungu katika Mkutano wa maombi na maombezi uliofanyika leo kuanzia saa 8:00 mchana hapa kanisani. Mungu ambariki sana


 

0 maoni:

Chapisha Maoni