Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 19 Machi 2017

Hakika Charles anastahili kuitwa FUNDI wa nyimbo za kuabudu

Huyu ni kijana Charles Simon mwenye uwezo wa kipekee hasa katika kuimba nyimbo za kuabudu. Hakika anastahili kuitwa 'fundi wa nyimbo za kuabudu' kutokana na uwezo wake wa kuziimba vema nyimbo hizo. Uimbaji wake kwa hisia kubwa na sauti yake ya kipekee huwafanya waumini kuhisi uwepo wa Roho Mtakatifu ndani ya kanisa. 

Ubarikiwe sana Charles0 maoni:

Chapisha Maoni