Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 26 Machi 2017

Mama Mitti na Mabinti zake wautendea haki wimbo waupendao

Leo ilikuwa ni zamu ya familia ya Mama Mitti kuimba wimbo waupendao. Hakika waliutendea haki wimbo namba 125 wa kitabu cha Tenzi. Mungu awabariki sana.Wakisubiri kupata baraka toka kwa Padre Meshack Malilo

0 maoni:

Chapisha Maoni