Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 12 Machi 2017

Mwinjilsti toka Michese Dodoma atuaga

 Pichani ni Bibi ambaye ni Mwinjilisti huko Michese Dodoma akituaga. Alikuwa hapa Majohe kwa muda kwaajili ya kuuguza, hivyo akishiriki nasi kikamilifu ibada za hapa kanisani. Na leo ametuaga tayari kurejea Dodoma. Tunamuomba Mungu amtangulie katika safari yake, Amen.


0 maoni:

Chapisha Maoni