Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 12 Machi 2017

Picha 10: 'The Glory' kwaya wafanya maajabu katika kumsifu Bwana

Leo tulitembelewa na "The Glory" kwaya toka Kanisa Anglikana Mtakatifu Augustino-Kisukuru linaloongozwa na Padre Patrick Chalo kwa sasa. Hakika ni kwaya iliyosheheni vipaji vya hali ya juu vya kumsifu Bwana kwa njia ya uimbaji. Mungu awabariki sana
0 maoni:

Chapisha Maoni