Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 26 Machi 2017

Watoto wa kipaimara waanza kuzoezwa kushiriki huduma za kanisa

Pichani ni mwanafunzi wa Kipaimara akisoma somo la pili ibada ya pili leo. Huu ni mwanzo wa kuwapa nafasi watoto kushiriki huduma za kanisa kama ilivyopendekezwa na katibu wa kanisa John Mwimbe.
Mtoto aliyesoma somo la kwanza, hapa akiwa amekaa baada ya kumaliza

0 maoni:

Chapisha Maoni