Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 12 Machi 2017

Wimbo Niupendao: Familia ya Semaganga wafanya kweli leo

Kushoto ni Bw. Semaganga ambaye ni Mtunza fedha wa kanisa pamoja na familia yake wakiimba kwenye kipengele cha 'Wimbo Niupendao'. Hakika waliimba vizuri sana, kwani mke wake (kulia) na watoto wao wakubwa (katikati) ni waimbaji wazuri. Mungu awabariki sana.
0 maoni:

Chapisha Maoni