Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 9 Aprili 2017

Picha 16: Maandamano leo jumapili ya mitende

Maandamano yakianza kutoka kanisani hadi Shule ya Msingi Marilynn na kurudi tena kanisani
 Waumini wakichukua matawi ya mitende kabla ya kuingia ndani ya kanisa kuanza ibada

Walimu wa kwaya za Sayuni (Mpapi, kulia) na Uinjilisti (Emma, mwenye tshirt ya Blue) wakiandamana
 Padre Malilo akiwa nyuma na Mwinjilisti Haule wakiandamana
 Baadhi ya wanakwaya wa Sayuni wakiandamana
 Waumini wakielekea kanisani
 Bibi Mzuri mwenye kanga za pink akiongoza kuimba
 Mama Kalaghe kushoto akishiriki maandamano
 Watumishi baada ya kuandamana na kurudi kanisani, wakisubiri taratibu za kuingia kanisani
  Waumini wakisubiri kuingia ndani ya kanisa baada ya kuandamana
  Waumini wakisubiri kuingia ndani ya kanisa baada ya kuandamana
Padre Malilo akigonga mlango kwa kutumia msalaba kabla ya kuruhusu waumini kuingia ndani ya kanisa baada ya kuandamana
 Waumini wakisubiri kuingia ndani ya kanisa baada ya kuandamana
  Waumini wakisubiri kuingia ndani ya kanisa baada ya kuandamana
  Waumini wakisubiri kuingia ndani ya kanisa baada ya kuandamana
 Waumini wakisubiri kuingia ndani ya kanisa baada ya kuandamana

0 maoni:

Chapisha Maoni