Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 9 Aprili 2017

Picha 4: Nathan aiongoza Uinjilisti Kwaya kufanya makubwa leo

Nathan akiimbisha wimbo mmoja wapo leo wakati kwaya ya uinjilisti ilipokuwa ikihudumu leo. Hakika waliimba vizuri sana, Mungu awabariki sana
 

Waumini walishindwa kujizuia kusimama na kuwashangilia Uinjilisti Kwaya huku wakipunga majani ya mitende

0 maoni:

Chapisha Maoni