Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 2 Aprili 2017

picha 5: Mtakatifu Cecylia wawategemeza watumishi ipasavyo

Hakika Waumini wa jumuiya ya Mtakatifu Cecylia wanastahili pongezi katika hili la kuwategemeza watumishi ipasavyo. Pichani ni mwenyekiti wa Jumuiya hiyo Ndaison Jacob akimkabidhi Padre Malilo moja kati ya sadaka walizotoa kwaajili ya kuwategemeza watumishi. Mungu awabariki sana
Pichani ni baadhi ya sadaka walizotoa jumuiya ya Mt. Cecylia
Kanisius akikabidhi moja ya sadaka

Wakijiandaa kupata baraka toka kwa Padre Malilo

0 maoni:

Chapisha Maoni