Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 2 Aprili 2017

Picha 5: Pilika pilika za Mama Njama jikoni

Mama Njama ni mmoja kati ya akina mama wenye moyo wa kujitolea sana katika kufanya huduma mbalimbali za kanisa. Hapa anaonekana akipika chai jikoni bila kujali moshi ya dhuruba zote za jikoni. Mungu ambariki sana.
 


Akiwahudumia waumini chai

0 maoni:

Chapisha Maoni