Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 30 Aprili 2017

ROSE MAGUNGU: Sura mpya kwenye uongozi wa kanisa

Moja ya sifa ya mtu kuchaguliwa kuwa Mhazini ni UAMINIFU. Rose Magungu pichani ndiye aliyechaguliwa kuwa Mhazini Msaidizi wa kanisa, akimsadia Simon Semaganga (Mhazini Mkuu). Mungu ambariki sana Dada Rose katika kutenda kazi ya Bwana.

0 maoni:

Chapisha Maoni