Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 2 Aprili 2017

Utani kidogo: Bingwa wa kula maandazi na maharage apatikana

Huyo aliyezungushiwa duara ndiye aliyeibuka kidedea kwenye mpambano wa kula maandazi, maharage na chai. Mshindi wetu amewazidi wanzake kwa points nyingi sana. Amebarikiwa kuwa na speed kubwa sana katika suala zima la kula maandazi na maharage. Mungu ambarikia sana
 


0 maoni:

Chapisha Maoni