Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 16 Aprili 2017

Wimbo niupendao: Padre Malilo alazimika kuomba usaidizi

Leo ilikuwa ni zamu ya familia ya Padre Malilo kuimba wimbo waupendao. Kwa bahati mbaya wana familia wengine hawakuwepo kwenye ibada ya leo, hivyo Padre Malilo alilazimika kuomba usaidizi toka kwa waumini wengine kama waonekanavyo pichani. Mungu awabariki sana kwa kuimba vizuri.

Maoni 1 :