Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 28 Mei 2017

Kadi za mchango wa Ujenzi wa kanisa jipya zagawiwa kwa waumini

Hii ni picha ya kadi ambazo zimegawiwa kwa waumini kwaajili ya kukusanya pesa ya kuanza ujenzi wa kanisa jipya. Kila aliyechukua kadi anaweza kukusanya kiasi chochote jinsi atakavyo ongozwa na Bwana. Ila imesisitizwa kwamba waumini tujitahidi kwenye kukusanya pesa ili tupate kiwango kitakacho mpendeza Bwana. Kadi hizi zinatakiwa kurejeshwa mwishoni mwa mwezi wa 7. Mungu atuongoze katika kulifanikisha hili.

0 maoni:

Chapisha Maoni