Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 7 Mei 2017

Katibu Msaidizi mpya 'Ndaison' aanza huduma kikamilifu leo


Ndaison Jacob ambaye aliaminiwa na waumini kwa kumchagua kuwa Katibu Msaidizi wa kanisa. Leo ni jumapili yake ya kwanza kuanza huduma rasmi toka apate nafasi hiyo. Pichani anaonekana akisoma matangazo ibada ya pili leo. Mungu ambariki sana

0 maoni:

Chapisha Maoni