Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 7 Mei 2017

Matokeo ya uchaguzi kigango cha Viwege leo

Yafuatayo  ni majina na vyeo vya waliochaguliwa leo kuwa viongozi wa Kigango 'Mt. Mathiya' - Viwege. Mungu awabariki sana katika kuitenda kazi yake.

Nelson Ndifwa - Katibu
Jesse Chonde - Msaidizi

George Mnangudye - Mhazini
Rahel Mbelwa - Msaidizi

Manase Machapula - Mshauri (wababa)
Mama Iman Mapuri - Mshauri (wamama)

0 maoni:

Chapisha Maoni