Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 28 Mei 2017

Picha 5: Padre Malilo aaga rasmi leo

Leo Padre Meshack Malilo ametuaga rasmi waumini wa kanisa Anglikana Mtakatifu Mathayo-Majohe. Padre Malilo ametumika hapa kama Kasisi wa Mtaa kwa muda wa mwaka mmoja. Sasa anahamia kanisa Anglikana Mtakatifu Albano-Upanga na kuhudumu kama kasisi msaidizi. Ataanza kazi rasmi 1 Juni 2017. Mungu ambariki sana katika kuitenda kazi yake.
 Padre Malilo (wa pili kushoto) na mkewe (wa kwanza kushoto) wakiaga, wakiwa na Mwinjilisti Haule na mkewe.
 Katibu wa Kanisa John Mwimbe akisoma neno wakati wa kumuaga Padre Malilo
 Padre Malilo, mkewe na mtoto wao (Emmanuel) wakati wa kuaga
Jumuiya na vikundi mbalimbali vya hapa kanisani vilipata fursa ya kumpa mkono wa kwaheri Padre Malilo

0 maoni:

Chapisha Maoni