Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 21 Mei 2017

Picha inajieleza jinsi wapendwa tunavyochelewa kufika kanisani

Pichani ni idadi ya waumini waliokuwa wamefika kanisani wakati ibada ya kwanza inaanza saa 12:30 asubuhi ya leo. Hii ni changamoto kwetu sote. Yatupasa kuwahi kanisani kama tunavyowahi sehemu zetu za kazi. Yawezekana makazini kwetu tunawahi kila siku kuanzia jumatatu hadi jumamosi lakini kanisani ambapo tunakuja siku moja tu (jumapili) tunachelewa.

Mungu atusaidie sana katika hilo.

0 maoni:

Chapisha Maoni