Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 7 Mei 2017

Sayuni Kwaya wadhihirisha uwezo wao kwa kuimba 'AKAPELA'

Moja ya kigezo cha kusifia ubora ya kwaya ni kuwa na uwezo wa kuimba bila vyombo vya muziki (akapela) na kuweza kuimba vizuri. Leo Sayuni Kwaya wamedhihirisha kwamba wao ni bora kwa kuamua kuimba bila vyombo vya muziki na kufanikiwa kuimba kwa ustadi mkubwa. Hakika mnaweza, Mungu awabariki sana.

0 maoni:

Chapisha Maoni