Pages

AAAAAAAAAAAA

AAAAAAAAAAAAA
Jumapili, 14 Mei 2017

Waumini watoa sadaka ya rambirambi kufuatia msiba wa shule ya Lucky Vicent Arusha

Waumini wa hapa kanisani wakitoa sadaka maalumu kwaajili ya rambirambi ya vifo vya wanafunzi, walimu na dereva wa shule ya Lucky Vicent Arusha vilivyotokea hivi karibuni huko Karatu-Arusha baada ya basi la shule hiyo kupata ajali. Mungu awalaze pema peponi.

0 maoni:

Chapisha Maoni